Radio ya dini inayohusika nma kueneza neno la Mungu kwa watu wote ili wapate kumjua yeye aliye wa kweli,pia radio hii inahusika na uaandaaji na urushaji wa matangazo mbalimbali ya kijamii ikiwemo habari na burudani,
Radio hii ipo chini ya KUHANI MUSA MEDIA GROUP